naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10

Ni chakula kipi huandaliwa kwa kuchanganya mahindi na maharagwe?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Vyakula

Wanafunzi wa gredi ya tano waliandika jedwali ambalo lilionyesha aina mbalimbali za vyakula. Tazama jedwali hili kisha ujibu maswali.
VYAKULA MBALIMBALI
Pure, wali, chai
Uji, juisi, maziwa
Nanasi, embe, parachichi
Chapati, nyama, mayai

10. Ni chakula kipi huandaliwa kwa kuchanganya mahindi na maharagwe?

  1. AUji
  2. BMaziwa
  3. CWali
  4. DPure

Answer

D. Pure

Pure (githeri) ni mahindi na maharagwe.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test