naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 20

(20)

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi 16 hadi 20. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Jina __16__ ni Dina. Niko katika darasa __17__ tano. Ninasomea shule ya msingi ya Bidii __18__ huwa tajika katika jimbo la Mashauri. Darasa letu __19__ wanafunzi hamsini na __20__.

20. (20)

  1. Ambili
  2. Btatu
  3. Cwanane
  4. Dnne

Answer

C. wanane

Wanafunzi (A-WA) → wanane.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test