CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision Paper 3 (2026) (Lugha)
Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Timina alikuwa anaugua ugonjwa upi?Answer: B. Malaria
- Question 2: Mbona Timina hakutaka kumeza tembe?Answer: B. Alikuwa anajihisi amepona.
- Question 3: Timina alitaka kunywa nini badala ya uji?Answer: A. Sharubati
- Question 4: Daktari aliyemtibu Timina alikuwa anaitwaAnswer: C. Pendo
- Question 5: Timina alitakiwa kula vyema iliAnswer: C. apate nguvu
- Question 6: Ni mnyama gani kati ya hawa hapatikani katika shamba la Mzee Ombati?Answer: C. Punda
- Question 7: Mzee Ombati alikuwa na wafanyakazi wangapi?Answer: C. Zaidi ya kumi
- Question 8: Ni nini husaidia ukuaji wa mazao ya Bwana Ombati?Answer: C. Mvua
- Question 9: Hewa katika shamba la mzee Ombati ni?Answer: B. safi
- Question 10: Hadithi inahusu dada wangapi?Answer: D. Watatu
- Question 11: Ni dada yupi alizipiga nguo pasi?Answer: B. Mariamba
- Question 12: Mariamu alijihusisha na nini?Answer: B. Kufua nguo
- Question 13: Ni nani humpa mtoto mafunzo ya kwanza?Answer: C. Mama
- Question 14: Ni mtoto yupi ambaye hupendwa na walimu?Answer: A. Wa mama mwema
- Question 15: Mwandishi anasema tuwafanyie nini wazazi wetu?Answer: A. shukrani
- Question 16: Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 16.Answer: D. ina
- Question 17: Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 17.Answer: D. nne
- Question 18: Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 18.Answer: A. nyeusi
- Question 19: Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 19.Answer: B. hii
- Question 20: Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 20.Answer: C. wa
- Question 21: Ni neno lipi kati ya haya halijaambatanishwa na wingi wake sahihi?Answer: D. Mlima - malima
- Question 22: Tumia neno sahihi kujaza pengo. Ugali ___ ni mtamu.Answer: B. huu
- Question 23: Kanusha sentensi: Yeye alisoma kitabu.Answer: D. Yeye hakusoma kitabu.
- Question 24: Kinyume cha kitenzi keti niAnswer: B. simama
- Question 25: Tumia Kiulizi sahihi kukamilisha Sentensi: Unalia kwa ___?Answer: D. nini
- Question 26: Jibu salamu ifuatayo: HodiAnswer: D. karibu
- Question 27: Jibu salamu ifuatayo: HujamboAnswer: D. Sijambo.
- Question 28: Kamilisha Methali: Mkono mtupu ___.Answer: C. haulambwi
- Question 29: Andika kwa maneno: 531Answer: C. Mia tano thelathini na moja.
- Question 30: Tenganisha silabi: chakulaAnswer: B. cha-ku-la