naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 15

Mwandishi anasema tuwafanyie nini wazazi wetu?

From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali.

Mama ni mwalimu bora kuliko wote duniani. Ndiye mwalimu wa kwanza katika maisha ya mtoto. Maneno na mafunzo ya kwanza hutoka kwa mama.

Mama mzuri humfunza mtoto usafi, bidii na heshima. Mama akiwa mzuri na watoto huwa vivyo hivyo.

Mama mchoyo huwafunza wana wake uchoyo. Naye mama mwenye kelele na ukali huwapiga watoto wake ovyo. Mtoto wa mama mwema huwa mfano mzuri shuleni. Hupendwa na walimu na kuheshimiwa na wanafunzi wengine. Lazima tuwape wazazi shukrani zetu.

Mwandishi anasema tuwafanyie nini wazazi wetu?

  1. Ashukrani
  2. Bchakula
  3. Cmavazi
  4. Dkazi

Answer

A. shukrani

Kifungu kinamalizia: "Lazima tuwape wazazi shukrani zetu."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test