CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 14
Ni mtoto yupi ambaye hupendwa na walimu?
From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali.
Mama ni mwalimu bora kuliko wote duniani. Ndiye mwalimu wa kwanza katika maisha ya mtoto. Maneno na mafunzo ya kwanza hutoka kwa mama.
Mama mzuri humfunza mtoto usafi, bidii na heshima. Mama akiwa mzuri na watoto huwa vivyo hivyo.
Mama mchoyo huwafunza wana wake uchoyo. Naye mama mwenye kelele na ukali huwapiga watoto wake ovyo. Mtoto wa mama mwema huwa mfano mzuri shuleni. Hupendwa na walimu na kuheshimiwa na wanafunzi wengine. Lazima tuwape wazazi shukrani zetu.
Ni mtoto yupi ambaye hupendwa na walimu?
- AWa mama mwema
- BWa baba mwema
- CMtukutu
- DMchafu
Answer
A. Wa mama mwema
"Mtoto wa mama mwema huwa mfano mzuri shuleni. Hupendwa na walimu."
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Mwandishi anasema tuwafanyie nini wazazi wetu?Question 15
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 16.Question 16
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 17.Question 17
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 18.Question 18
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 19.Question 19
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 20.Question 20