CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25
Tumia Kiulizi sahihi kukamilisha Sentensi: Unalia kwa ___?
From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Tumia Kiulizi sahihi kukamilisha Sentensi:
Unalia kwa ________?
- Agani
- Bmbona
- Cnani
- Dnini
Answer
D. nini
Tunauliza sababu kwa kusema "kwa nini": "Unalia kwa nini?"