CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 1
Timina alikuwa anaugua ugonjwa upi?
From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali 1-5.
Timina: Mama mimi sitaki dawa.
Mama: Timina dawa ndizo zitakusaidia upone.
Timina: Lakini mama najihisi nimepona.
Mama: Kujihisi ni tofauti na kupona. Ili upone na malaria itoke mwilini, lazima ukamilishe dawa zote ulizopewa na daktari.
Timina: Mama lakini...
Mama: (akimkata kauli): Hakuna cha lakini hapa, shika tembe hizi umeze kisha unywe uji.
Timina: Mama unajua sipendi uji, nitakunywa sharubati.
Mama: Uji ndiyo itakusaidia kuwa na nguvu.
Timina: Mama, Daktari Pendo hakusema hivyo.
Mama: Kazi ya daktari ni kukupima na kukupa dawa, ni jukumu langu kama mama kuhakikisha umemeza dawa na umekula vyema ili kuwa na nguvu.
Timina alikuwa anaugua ugonjwa upi?
- AMalale
- BMalaria
- CKipindupindu
- DUkoma
Answer
B. Malaria
Mama anasema lazima Timina akamilishe dawa "ili upone na malaria itoke mwilini".
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Mbona Timina hakutaka kumeza tembe?Question 2
- Timina alitaka kunywa nini badala ya uji?Question 3
- Daktari aliyemtibu Timina alikuwa anaitwaQuestion 4
- Timina alitakiwa kula vyema iliQuestion 5
- Ni mnyama gani kati ya hawa hapatikani katika shamba la Mzee Ombati?Question 6
- Mzee Ombati alikuwa na wafanyakazi wangapi?Question 7