CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7
Mzee Ombati alikuwa na wafanyakazi wangapi?
From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali.
Shamba la Bwana Ombati lina miti na mimea iliyo na afya. Katika shamba hili Mzee Ombati amefuga mbuzi, ng'ombe na kondoo wengi. Ana wafanyakazi zaidi ya kumi ambao humsaidia kulima, kupalilia na kutunza mifugo wake. Anaishi sehemu ambayo ina mvua nyingi ambayo husaidia ukuaji wa mazao. Hewa shambani ni safi na yenye amani.
Mzee Ombati alikuwa na wafanyakazi wangapi?
- AKumi
- BKumi na wawili
- CZaidi ya kumi
- DIshirini
Answer
C. Zaidi ya kumi
Kifungu kinasema ana "wafanyakazi zaidi ya kumi".