naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10

Hadithi inahusu dada wangapi?

From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Hadithi

Soma taarifa fupi kisha ujibu maswali.

Paliondoka dada watatu. Walipendana sana kama chanda na pete. Majina yao yalikuwa Maria, Mariamu na Mariamba. Maria alisaidia kupika, Mariamu alifua nguo na kuosha vyombo. Naye Mariamba alipiga nguo pasi na kuzipanga kabatini.

Hadithi inahusu dada wangapi?

  1. AWawili
  2. BWanne
  3. CWatano
  4. DWatatu

Answer

D. Watatu

Taarifa inaanza: "Paliondoka dada watatu" — Maria, Mariamu na Mariamba.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test