naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9

Hewa katika shamba la mzee Ombati ni?

From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali.

Shamba la Bwana Ombati lina miti na mimea iliyo na afya. Katika shamba hili Mzee Ombati amefuga mbuzi, ng'ombe na kondoo wengi. Ana wafanyakazi zaidi ya kumi ambao humsaidia kulima, kupalilia na kutunza mifugo wake. Anaishi sehemu ambayo ina mvua nyingi ambayo husaidia ukuaji wa mazao. Hewa shambani ni safi na yenye amani.

Hewa katika shamba la mzee Ombati ni?

  1. Achafu
  2. Bsafi
  3. Ckali
  4. Dbaridi

Answer

B. safi

Kifungu kinamalizia: "Hewa shambani ni safi na yenye amani."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test