CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 11
Ni dada yupi alizipiga nguo pasi?
From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Hadithi
Soma taarifa fupi kisha ujibu maswali.
Paliondoka dada watatu. Walipendana sana kama chanda na pete. Majina yao yalikuwa Maria, Mariamu na Mariamba. Maria alisaidia kupika, Mariamu alifua nguo na kuosha vyombo. Naye Mariamba alipiga nguo pasi na kuzipanga kabatini.
Ni dada yupi alizipiga nguo pasi?
- AMariamu
- BMariamba
- CMaria
- DHatujaambiwa
Answer
B. Mariamba
"Naye Mariamba alipiga nguo pasi na kuzipanga kabatini."