naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 12

Mariamu alijihusisha na nini?

From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Hadithi

Soma taarifa fupi kisha ujibu maswali.

Paliondoka dada watatu. Walipendana sana kama chanda na pete. Majina yao yalikuwa Maria, Mariamu na Mariamba. Maria alisaidia kupika, Mariamu alifua nguo na kuosha vyombo. Naye Mariamba alipiga nguo pasi na kuzipanga kabatini.

Mariamu alijihusisha na nini?

  1. AKupika
  2. BKufua nguo
  3. CKuvua nguo
  4. DKupanga nguo kabatini.

Answer

B. Kufua nguo

"Mariamu alifua nguo na kuosha vyombo." Kupika ni kazi ya Maria na kupanga nguo ni kazi ya Mariamba.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test