CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22
Tumia neno sahihi kujaza pengo. Ugali ___ ni mtamu.
From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
Tumia neno sahihi kujaza pengo.
Ugali ________ ni mtamu.
- Ahii
- Bhuu
- Chiki
- Dhuyu
Answer
B. huu
Ugali uko katika ngeli ya U-U, kwa hivyo kiashiria chake ni "huu": "Ugali huu ni mtamu."