CBC Grade 4 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23
Kanusha sentensi: Yeye alisoma kitabu.
From Kiswahili — Revision Paper 3 (2026) (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
Kanusha sentensi:
Yeye alisoma kitabu.
- AYeye alisoma vitabu.
- BYeye hakusoma vitabu
- CWao walisoma vitaby.
- DYeye hakusoma kitabu.
Answer
D. Yeye hakusoma kitabu.
Ukanusho wa "alisoma" ni "hakusoma", na neno "kitabu" halibadiliki: "Yeye hakusoma kitabu."