CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026: Karatasi ya Marudio 2026 (Test 15)
Test 15 — Karatasi ya Marudio 2026 · Karatasi ya Marudio 2026 · 31 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 31 questions with answers
- Question 1: Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali 1 hadi 5. Beti: Mbayo, umeona umuhimu gani wa kupanda miti shuleni kwetu? Mbayo: Kwanza, miti…Answer: B. Kufanya hewa iwe safi
- Question 2: Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali 1 hadi 5. Beti: Mbayo, umeona umuhimu gani wa kupanda miti shuleni kwetu? Mbayo: Kwanza, miti…Answer: A. Inazuia mmomonyoko wa udongo
- Question 3: Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali 1 hadi 5. Beti: Mbayo, umeona umuhimu gani wa kupanda miti shuleni kwetu? Mbayo: Kwanza, miti…Answer: C. hutupa kivuli
- Question 4: Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali 1 hadi 5. Beti: Mbayo, umeona umuhimu gani wa kupanda miti shuleni kwetu? Mbayo: Kwanza, miti…Answer: D. Inavutia ndege na wanyama wadogo
- Question 5: Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali 1 hadi 5. Beti: Mbayo, umeona umuhimu gani wa kupanda miti shuleni kwetu? Mbayo: Kwanza, miti…Answer: C. Miti kumi na tano
- Question 6: Soma kifungu kisha ujibu maswali 6 - 9. Sikukuu ya Madaraka husherehekewa kila mwaka nchini Kenya. Hii ni siku ambayo wakenya walipata…Answer: B. Tarehe moja mwezi wa sita
- Question 7: Soma kifungu kisha ujibu maswali 6 - 9. Sikukuu ya Madaraka husherehekewa kila mwaka nchini Kenya. Hii ni siku ambayo wakenya walipata…Answer: B. watu wengi
- Question 8: Soma kifungu kisha ujibu maswali 6 - 9. Sikukuu ya Madaraka husherehekewa kila mwaka nchini Kenya. Hii ni siku ambayo wakenya walipata…Answer: A. nyeupe
- Question 9: Soma kifungu kisha ujibu maswali 6 - 9. Sikukuu ya Madaraka husherehekewa kila mwaka nchini Kenya. Hii ni siku ambayo wakenya walipata…Answer: C. Rais
- Question 10: Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata. Sungura na ng'ombe walikuwa marafiki wa kufa kuzikana kwani ushirikiano kwao ni…Answer: D. Marafiki wakubwa
- Question 11: Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata. Sungura na ng'ombe walikuwa marafiki wa kufa kuzikana kwani ushirikiano kwao ni…Answer: B. Kutafuta chakula
- Question 12: Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata. Sungura na ng'ombe walikuwa marafiki wa kufa kuzikana kwani ushirikiano kwao ni…Answer: A. Mzabibu ulikuwa mrefu
- Question 13: Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata. Siku moja, wanyama wote wa msitu wa Gungumalo walikusanyika kufanya uchaguzi wa…Answer: D. Kumchagua mnyama kiongozi wa msitu
- Question 14: Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata. Siku moja, wanyama wote wa msitu wa Gungumalo walikusanyika kufanya uchaguzi wa…Answer: A. Simba
- Question 15: Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata. Siku moja, wanyama wote wa msitu wa Gungumalo walikusanyika kufanya uchaguzi wa…Answer: C. Alikuwa mwenye subira na busara
- Question 16: Kutoka swali la 16 - 20, soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi zilizoachwa wazi. Chagua jibu lililo sahihi kati ya manne uliyopewa kujazia…Answer: C. alichukua
- Question 17: Kutoka swali la 16 - 20, soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi zilizoachwa wazi. Chagua jibu lililo sahihi kati ya manne uliyopewa kujazia…Answer: C. wake
- Question 18: Kutoka swali la 16 - 20, soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi zilizoachwa wazi. Chagua jibu lililo sahihi kati ya manne uliyopewa kujazia…Answer: B. refu
- Question 19: Kutoka swali la 16 - 20, soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi zilizoachwa wazi. Chagua jibu lililo sahihi kati ya manne uliyopewa kujazia…Answer: C. saa
- Question 20: Kutoka swali la 16 - 20, soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi zilizoachwa wazi. Chagua jibu lililo sahihi kati ya manne uliyopewa kujazia…Answer: A. chini
- Question 21: Kamilisha sentensi hii kwa nahau sahihi. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___Answer: D. alipiga chafya
- Question 22: Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi ifaayo. Isla anapenda kutazama ___ nyota angani.Answer: B. mlolongo wa
- Question 23: Chagua nomino ya wingi kati ya hizi.Answer: B. Madawati
- Question 24: Kamilisha sentensi kwa kutumia kinyume cha nomino iliyopigiwa mstari. Baada ya kicheko chake kulikuwa naAnswer: B. kilio
- Question 25: Chagua mfuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi. i) shtahiki ii) staja iii) stahili iv) shaibuAnswer: A. (iv), (i), (iii), (ii)
- Question 26: Chagua jibu ambalo linaonyesha umoja wa sentensi hii. Nyufa zimepatikana nyavuni kwaoAnswer: D. Ufa umepatikana wavuni kwake
- Question 27: Ni nahau gani kati ya hizi mwanafunzi atatumia kumhimiza mwenzake awe na bidii masomoni?Answer: C. Tia shime
- Question 28: Tambua kielezi katika sentensi hii. Mbuni ni mmojawapo wa wanyama wakimbiao kwa kasi ulimwenguniAnswer: A. kwa kasi
- Question 29: Babu aliangalia juu na akaona mvua ilikuwa karibu sana kunyesha. Kwa hivyo tutasema alionaAnswer: D. wingu la mvua
- Question 30: Mwanasiasa alivalia bangili mkononi naye mwanasarakasi akavalia mkufu ___Answer: A. shingoni
- Question 31: SEHEMU YA PILI: KUANDIKA (Alama 10). Andika insha ya kusisimua yenye mada: “LIKIZO YANGU YA DESEMBA”Answer: Likizo ya Desemba mwaka jana nilikwenda kijijini kwa babu na nyanya yangu. Nilisafiri pamoja na wazazi wangu…