CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata. Sungura na ng'ombe walikuwa marafiki wa kufa kuzikana kwani ushirikiano kwao ni nguvu na utengano ni…
From Test 15 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Hadithi
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata.
Sungura na ng'ombe walikuwa marafiki wa kufa kuzikana kwani ushirikiano kwao ni nguvu na utengano ni udhaifu. Marafiki hawa walikuwa na vikembe. Sungura alikuwa na vitungule wanne. Ng'ombe alikuwa na ndama mmoja wa kike.
Siku moja sungura na wanawe walikuwa wakizunguka msituni wakiwa na nia ya kupata mzabibu wale na vitungule wake wakajaribu kuyachuma mazabibu lakini hawakufua dafu. Mzabibu ulikuwa mrefu kama mlingoti. Hawangeweza kuukwea mzabibu. Mara wazo likamjia, ninaye sahibu yangu ng'ombe. Si walinena wahenga kuwa akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki?
Marafiki wa kufa kuzikana ni marafiki wa aina gani kulingana na kifungu?
- AMarafiki wa sungura
- BMarafiki wa kuzikana
- CMarafiki wa kufa
- DMarafiki wakubwa
Answer
D. Marafiki wakubwa
"Marafiki wa kufa kuzikana" ni msemo unaoelezea urafiki wa karibu sana, yaani marafiki wakubwa.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata. Sungura na ng'ombe walikuwa marafiki wa kufa kuzikana kwani…Question 11
- Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata. Sungura na ng'ombe walikuwa marafiki wa kufa kuzikana kwani…Question 12
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata. Siku moja, wanyama wote wa msitu wa Gungumalo walikusanyika…Question 13
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata. Siku moja, wanyama wote wa msitu wa Gungumalo walikusanyika…Question 14
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata. Siku moja, wanyama wote wa msitu wa Gungumalo walikusanyika…Question 15
- Kutoka swali la 16 - 20, soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi zilizoachwa wazi. Chagua jibu lililo sahihi kati ya…Question 16