CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 12
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata. Sungura na ng'ombe walikuwa marafiki wa kufa kuzikana kwani ushirikiano kwao ni nguvu na utengano ni…
From Test 15 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Hadithi
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata.
Sungura na ng'ombe walikuwa marafiki wa kufa kuzikana kwani ushirikiano kwao ni nguvu na utengano ni udhaifu. Marafiki hawa walikuwa na vikembe. Sungura alikuwa na vitungule wanne. Ng'ombe alikuwa na ndama mmoja wa kike.
Siku moja sungura na wanawe walikuwa wakizunguka msituni wakiwa na nia ya kupata mzabibu wale na vitungule wake wakajaribu kuyachuma mazabibu lakini hawakufua dafu. Mzabibu ulikuwa mrefu kama mlingoti. Hawangeweza kuukwea mzabibu. Mara wazo likamjia, ninaye sahibu yangu ng'ombe. Si walinena wahenga kuwa akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki?
Kwa nini sungura na wanawe hawakuweza kuchuma mazabibu?
- AMzabibu ulikuwa mrefu
- BNg'ombe hawakuwepo
- CWazo lilimjia sungura
- DSungura na wanawe ni wadogo
Answer
A. Mzabibu ulikuwa mrefu
Kifungu kinasema mzabibu ulikuwa mrefu kama mlingoti, hivyo hawangeweza kuukwea.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata. Siku moja, wanyama wote wa msitu wa Gungumalo walikusanyika…Question 13
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata. Siku moja, wanyama wote wa msitu wa Gungumalo walikusanyika…Question 14
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata. Siku moja, wanyama wote wa msitu wa Gungumalo walikusanyika…Question 15
- Kutoka swali la 16 - 20, soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi zilizoachwa wazi. Chagua jibu lililo sahihi kati ya…Question 16
- Kutoka swali la 16 - 20, soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi zilizoachwa wazi. Chagua jibu lililo sahihi kati ya…Question 17
- Kutoka swali la 16 - 20, soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi zilizoachwa wazi. Chagua jibu lililo sahihi kati ya…Question 18