CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 26
Chagua jibu ambalo linaonyesha umoja wa sentensi hii. Nyufa zimepatikana nyavuni kwao
From Test 15 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
Chagua jibu ambalo linaonyesha umoja wa sentensi hii.
Nyufa zimepatikana nyavuni kwao
- AKuta zilipatikana wavuni kwao
- BUkuta umepatikana nyavuni kwao
- CUfa umepatikana nyavuni kwake
- DUfa umepatikana wavuni kwake
Answer
D. Ufa umepatikana wavuni kwake
Umoja wa "nyufa ... nyavuni kwao" ni "ufa ... wavuni kwake".
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Ni nahau gani kati ya hizi mwanafunzi atatumia kumhimiza mwenzake awe na bidii masomoni?Question 27
- Tambua kielezi katika sentensi hii. Mbuni ni mmojawapo wa wanyama wakimbiao kwa kasi ulimwenguniQuestion 28
- Babu aliangalia juu na akaona mvua ilikuwa karibu sana kunyesha. Kwa hivyo tutasema alionaQuestion 29
- Mwanasiasa alivalia bangili mkononi naye mwanasarakasi akavalia mkufu ___Question 30
- SEHEMU YA PILI: KUANDIKA (Alama 10). Andika insha ya kusisimua yenye mada: “LIKIZO YANGU YA DESEMBA”Question 31
- Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali 1 hadi 5. Beti: Mbayo, umeona umuhimu gani wa kupanda miti shuleni kwetu?…Question 1