naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 28

Tambua kielezi katika sentensi hii. Mbuni ni mmojawapo wa wanyama wakimbiao kwa kasi ulimwenguni

From Test 15 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

Tambua kielezi katika sentensi hii.
Mbuni ni mmojawapo wa wanyama wakimbiao kwa kasi ulimwenguni

  1. Akwa kasi
  2. Bwa
  3. Cmbuni
  4. Dulimwenguni

Answer

A. kwa kasi

"Kwa kasi" ni kielezi cha jinsi kinachoeleza jinsi mbuni anavyokimbia.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test