CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27
Ni nahau gani kati ya hizi mwanafunzi atatumia kumhimiza mwenzake awe na bidii masomoni?
From Test 15 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nahau na Semi
Ni nahau gani kati ya hizi mwanafunzi atatumia kumhimiza mwenzake awe na bidii masomoni?
- APiga moyo konde
- BToa shukrani
- CTia shime
- DFanya haki
Answer
C. Tia shime
"Tia shime" ni nahau inayotumika kumtia mtu moyo/kumhimiza afanye vizuri zaidi.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Tambua kielezi katika sentensi hii. Mbuni ni mmojawapo wa wanyama wakimbiao kwa kasi ulimwenguniQuestion 28
- Babu aliangalia juu na akaona mvua ilikuwa karibu sana kunyesha. Kwa hivyo tutasema alionaQuestion 29
- Mwanasiasa alivalia bangili mkononi naye mwanasarakasi akavalia mkufu ___Question 30
- SEHEMU YA PILI: KUANDIKA (Alama 10). Andika insha ya kusisimua yenye mada: “LIKIZO YANGU YA DESEMBA”Question 31
- Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali 1 hadi 5. Beti: Mbayo, umeona umuhimu gani wa kupanda miti shuleni kwetu?…Question 1
- Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali 1 hadi 5. Beti: Mbayo, umeona umuhimu gani wa kupanda miti shuleni kwetu?…Question 2