CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25
Chagua mfuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi. i) shtahiki ii) staja iii) stahili iv) shaibu
From Test 15 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Msamiati
Chagua mfuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi.
i) shtahiki ii) staja iii) stahili iv) shaibu
- A(iv), (i), (iii), (ii)
- B(i), (ii), (iii), (iv)
- C(i), (iv), (ii), (iii)
- D(iv), (ii), (i), (iii)
Answer
A. (iv), (i), (iii), (ii)
Kwa mfuatano wa kikamusi (alfabeti), maneno haya yanafuatana kama: shaibu, shtahiki, stahili, staja -- yaani (iv), (i), (iii), (ii).
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu ambalo linaonyesha umoja wa sentensi hii. Nyufa zimepatikana nyavuni kwaoQuestion 26
- Ni nahau gani kati ya hizi mwanafunzi atatumia kumhimiza mwenzake awe na bidii masomoni?Question 27
- Tambua kielezi katika sentensi hii. Mbuni ni mmojawapo wa wanyama wakimbiao kwa kasi ulimwenguniQuestion 28
- Babu aliangalia juu na akaona mvua ilikuwa karibu sana kunyesha. Kwa hivyo tutasema alionaQuestion 29
- Mwanasiasa alivalia bangili mkononi naye mwanasarakasi akavalia mkufu ___Question 30
- SEHEMU YA PILI: KUANDIKA (Alama 10). Andika insha ya kusisimua yenye mada: “LIKIZO YANGU YA DESEMBA”Question 31