CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24
Kamilisha sentensi kwa kutumia kinyume cha nomino iliyopigiwa mstari. Baada ya kicheko chake kulikuwa na
From Test 15 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vinyume
Kamilisha sentensi kwa kutumia kinyume cha nomino iliyopigiwa mstari.
Baada ya kicheko chake kulikuwa na
- Atabasamu
- Bkilio
- Cvurugu
- Dmachozi
Answer
B. kilio
Kinyume cha "kicheko" ni "kilio".
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Chagua mfuatano sahihi wa maneno haya jinsi yanavyofuatana kwenye kamusi. i) shtahiki ii) staja iii) stahili iv) shaibuQuestion 25
- Chagua jibu ambalo linaonyesha umoja wa sentensi hii. Nyufa zimepatikana nyavuni kwaoQuestion 26
- Ni nahau gani kati ya hizi mwanafunzi atatumia kumhimiza mwenzake awe na bidii masomoni?Question 27
- Tambua kielezi katika sentensi hii. Mbuni ni mmojawapo wa wanyama wakimbiao kwa kasi ulimwenguniQuestion 28
- Babu aliangalia juu na akaona mvua ilikuwa karibu sana kunyesha. Kwa hivyo tutasema alionaQuestion 29
- Mwanasiasa alivalia bangili mkononi naye mwanasarakasi akavalia mkufu ___Question 30