CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025: Assessment 2025 (Set 7)
Kiswahili — Assessment 2025 (Set 7) · Assessment 2025 (Set 7) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Fasihi Simulizi.
All 30 questions with answers
- Question 1: Mazungumzo yanahusu nini?Answer: D. Afya yetu
- Question 2: Nani alielimisha vijana hawa jinsi ya kutunza mwili?Answer: D. Mwalimu Kisa
- Question 3: Mtu ambaye hafanyishi mwili wake kazi au mazoezi anaweza kuwa mnene auAnswer: C. Mgonjwa
- Question 4: Tunaweza kulinda afya yetu kwa kula vizuri na kufanya nini?Answer: B. Mazoezi
- Question 5: Siku hiyo vijana hawa waliimarisha afya yao kupitia mchezo gani?Answer: C. Kabumbu
- Question 6: Bendera alikuwa na ndugu wangapi?Answer: C. Hamna
- Question 7: Watu walimpenda Bendera kwa sababu hakuwaAnswer: C. Mtundu
- Question 8: Wazazi wa Bendera walikuwaAnswer: B. Fukara
- Question 9: Sentensi iliyopigiwa mstari ni fani gani ya lugha. "Katika masomo, alikuwa wembe."Answer: A. Isitiari
- Question 10: Maadili ya Bendera yalimfikisha mbali.Answer: C. Kielimu
- Question 11: Fungu moja la mishororo katika shairi huitwaAnswer: C. ubeti
- Question 12: Vina vya mwisho vya shairi hili niAnswer: D. ni
- Question 13: Shairi hili ni la aina gani?Answer: B. Tarbia
- Question 14: Ujumbe wa ubeti wa pili wa shairi unahusu?Answer: B. dhuluma za watoto
- Question 15: Neno 'mahuluki' limetumika katika ubeti wa tatu. Lina maana yaAnswer: D. Watu
- Question 16: Chagua jibu sahihi la pengo 16.Answer: A. asubuhi
- Question 17: Chagua jibu sahihi la pengo 17.Answer: B. basi
- Question 18: Chagua jibu sahihi la pengo 18.Answer: D. kwanza
- Question 19: Chagua jibu sahihi la pengo 19.Answer: C. basini
- Question 20: Chagua jibu sahihi la pengo 20.Answer: D. ikaanza
- Question 21: Kutoka swali la 21 - 30, jibu swali kulingana na maagizo. Chagua sentensi sahihi katika wingi.Answer: C. Karatasi hizi zimeraruka
- Question 22: Nomino "ugonjwa" hupatikana katika ngeli gani?Answer: D. U-YA
- Question 23: Jua likiwa utosini tunasema niAnswer: C. adhuhuri
- Question 24: Chagua nahau ambayo haiandamani na usafi wa mazingiraAnswer: C. Piga milundi
- Question 25: Chagua nomino sahihi kujaza nafasi. ___ taka katika makaazi ya mwanadamu hudumisha usafiAnswer: A. Kusafisha
- Question 26: Kamilisha methali hizi. Mchumia juaniAnswer: B. hulia kivulini
- Question 27: AnayejitahidiAnswer: A. Hufaulu
- Question 28: Kamilisha nomino ya makundi ifuatayo. Robota laAnswer: D. pamba
- Question 29: Sehemu ya tarakilishi ambayo ina alama mbali mbali, herufi na nambari huitwaAnswer: A. bodidota
- Question 30: Wingi wa nomino "ndizi" niAnswer: B. ndizi