naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 17

Chagua jibu sahihi la pengo 17.

From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo

Jaza nafasi zilizoachwa wazi kutoka nambari 16 - 20 kwenye kifungu kifuatacho.
Siku hiyo tulikuwa tumeingojea kwa hamu na ghamu. Sote tulifika __16__ na mapema tukiwa tayari kuabiri __17__ kuelekea mjini Majimatamu. Hii ilikuwa mara yangu ya __18__ kwenda huko. Sikuwa nimefika huko tena. Tuliingia __19__ tukiwa na furaha sana. Mara, dereva alitia gari ufunguo na safari __20__.

17. Chagua jibu sahihi la pengo 17.

  1. Abaiskeli
  2. Bbasi
  3. Cndege
  4. Dmeli

Answer

B. basi

Dereva alitia gari ufunguo: walipanda basi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test