CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 18
Chagua jibu sahihi la pengo 18.
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo
Jaza nafasi zilizoachwa wazi kutoka nambari 16 - 20 kwenye kifungu kifuatacho.
Siku hiyo tulikuwa tumeingojea kwa hamu na ghamu. Sote tulifika __16__ na mapema tukiwa tayari kuabiri __17__ kuelekea mjini Majimatamu. Hii ilikuwa mara yangu ya __18__ kwenda huko. Sikuwa nimefika huko tena. Tuliingia __19__ tukiwa na furaha sana. Mara, dereva alitia gari ufunguo na safari __20__.
18. Chagua jibu sahihi la pengo 18.
- Amoja
- Bmwisho
- Ctatu
- Dkwanza
Answer
D. kwanza
Hakuwa amefika huko tena: ilikuwa mara ya kwanza.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi la pengo 19.Question 19
- Chagua jibu sahihi la pengo 20.Question 20
- Kutoka swali la 21 - 30, jibu swali kulingana na maagizo. Chagua sentensi sahihi katika wingi.Question 21
- Nomino "ugonjwa" hupatikana katika ngeli gani?Question 22
- Jua likiwa utosini tunasema niQuestion 23
- Chagua nahau ambayo haiandamani na usafi wa mazingiraQuestion 24