CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 24
Chagua nahau ambayo haiandamani na usafi wa mazingira
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Fasihi Simulizi, Nahau
24. Chagua nahau ambayo haiandamani na usafi wa mazingira
- APiga deki
- BFuta vumbi
- CPiga milundi
- DChokonoa meno
Answer
C. Piga milundi
Piga deki, futa vumbi na chokonoa meno zote zinahusu usafi.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua nomino sahihi kujaza nafasi. ___ taka katika makaazi ya mwanadamu hudumisha usafiQuestion 25
- Kamilisha methali hizi. Mchumia juaniQuestion 26
- AnayejitahidiQuestion 27
- Kamilisha nomino ya makundi ifuatayo. Robota laQuestion 28
- Sehemu ya tarakilishi ambayo ina alama mbali mbali, herufi na nambari huitwaQuestion 29
- Wingi wa nomino "ndizi" niQuestion 30