CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 26
Kamilisha methali hizi. Mchumia juani
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Fasihi Simulizi, Methali
26. Kamilisha methali hizi.
Mchumia juani
- Ahulia mvuani
- Bhulia kivulini
- Chaachi kuchomeka
- Dhapati chochote
Answer
B. hulia kivulini
Mchumia juani hulia kivulini.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- AnayejitahidiQuestion 27
- Kamilisha nomino ya makundi ifuatayo. Robota laQuestion 28
- Sehemu ya tarakilishi ambayo ina alama mbali mbali, herufi na nambari huitwaQuestion 29
- Wingi wa nomino "ndizi" niQuestion 30
- Mazungumzo yanahusu nini?Question 1
- Nani alielimisha vijana hawa jinsi ya kutunza mwili?Question 2