CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 25
Chagua nomino sahihi kujaza nafasi. ___ taka katika makaazi ya mwanadamu hudumisha usafi
From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino
25. Chagua nomino sahihi kujaza nafasi.
____ taka katika makaazi ya mwanadamu hudumisha usafi
- AKusafisha
- BKuishi
- CKuleta
- DKuchoma
Answer
A. Kusafisha
Kusafisha (au kuchoma) taka hudumisha usafi; kuishi na kuleta taka hakudumishi usafi.