naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 15

Neno 'mahuluki' limetumika katika ubeti wa tatu. Lina maana ya

From Kiswahili — Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ushairi

Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali 11 hadi 15.
Mtoto anayo haki, ya kuishi ulimwenguni,
Asifanyiwe mkiki, kutopelekwa shuleni,
Pia asipewe mkuki, kwenda shida mwirumi,
Tumpeleke shuleni, mtoto masomo afaidike.

Mzigo haubebeki, mtoto wampa kwa nini?
Mawe hayabudiliki, wamwajiri kuyagongani?
Kutwa kucha hubanduki, wamtesa maskini,
Tumpeleke shuleni, mtoto masomo afaidike.

Kama unayo malaki, na pesa zako mfukoni,
Ama zingine kwenye benki, maelfu na mamilioni!
Saidia mahuluki, akubariki Manani!
Tumpeleke shuleni, mtoto masomo afaidike.

15. Neno 'mahuluki' limetumika katika ubeti wa tatu. Lina maana ya

  1. Amzazi
  2. BMtoto
  3. CMola
  4. DWatu

Answer

D. Watu

Mahuluki ni viumbe au watu; katika shairi ni mtoto anayehitaji msaada.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test