CBC Grade 5 Kiswahili Mock Exam 2025: First Trial Assessment 2025 (Set 1)
Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (Set 1) · First Trial Assessment 2025 (Set 1) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi, Msamiati.
All 30 questions with answers
- Question 1: Kwa sababu gani muuzaji hana machungwa?Answer: B. Haikuwa msimu wa machungwa.
- Question 2: Mnunuzi hakununuaAnswer: D. maziwa.
- Question 3: Embe moja ni shilingi ngapi?Answer: A. Mia tano.
- Question 4: Chakula kipi kilikuwa bei rahisi?Answer: C. Nyanya
- Question 5: Mnunuzi aliwekewa vitu wapi?Answer: B. Kwenye mkoba
- Question 6: Sungura alijulikana kuwaAnswer: B. mwerevu
- Question 7: Simba alipofika kwa Sungura alipiga hodi. Sungura alimjibu vipi?Answer: C. Karibu
- Question 8: Simba walihimizwa watakula mzoga wa wanyama wapi?Answer: A. Swara na Nyumbu.
- Question 9: Sungura alimwambia Simba akale wanyama gani?Answer: C. Watoto wake.
- Question 10: Sungura alipona vipi kutoka kwa hasira ya Simba jike?Answer: B. Alimdanganya ameshika mzizi.
- Question 11: Kati ya hii, upi si mji wa Mombasa?Answer: D. Mji wa waafrika.
- Question 12: Watu wapi hawajatajwa kwenye taarifa hii? Watu kutokaAnswer: B. Malawi
- Question 13: Watu wengi wa Mombasa ni Waislamu. Wao huabudu wapi?Answer: A. Msikitini
- Question 14: Mwandishi ametaja sehemu za kuzuru akiwa Mombasa. Ipi si sehemu aliyoitaja?Answer: C. Milima
- Question 15: Kichwa kipi chafaa habari hii?Answer: C. Mji ningetamani kuishi.
- Question 16: Chagua jibu sahihi la pengo 16.Answer: C. ambayo
- Question 17: Chagua jibu sahihi la pengo 17.Answer: B. mwenye
- Question 18: Chagua jibu sahihi la pengo 18.Answer: D. miwili
- Question 19: Chagua jibu sahihi la pengo 19.Answer: C. kitambaa
- Question 20: Chagua jibu sahihi la pengo 20.Answer: A. wake
- Question 21: Kutoka swali la 21 hadi 30 jibu kulingana na maagizo. Kamilisha salamu. U hali gani?Answer: C. Njema
- Question 22: Chagua kiwakilishi. Wao wanaenda kule kucheza.Answer: B. wao
- Question 23: Chagua kielezi kukamilisha sentensi. Mama alitembea ___ akitoka mtoni.Answer: D. polepole
- Question 24: Tegua kitendawili. Popoo mbili zavuka mto.Answer: C. Macho
- Question 25: Jaza kwa kutumia kiunganishi. Amefika ___ amenyeshewa.Answer: B. Lakini
- Question 26: Andika kwa wingi. Mvulana mkali ameadhibiwa.Answer: D. Wavulana wakali wameadhibiwa.
- Question 27: Tambua neno lisilo la heshima.Answer: B. Amezaa.
- Question 28: Kifaa hiki kinaitwaje?Answer: B. Mwiko
- Question 29: Chagua jina linalopatikana katika ngeli ya A-WA.Answer: C. Samaki
- Question 30: Kisawe cha ndovu ni?Answer: D. Tembo.