CBC Grade 5 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 20
Chagua jibu sahihi la pengo 20.
From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kujaza Mapengo
Chagua jibu sahihi kujaza pengo swali la 16-20.
Ilikuwa ni siku ya Jumatano. Siku __16__ Halima, mtoto __17__ umri wa miaka kumi na __18__, alikuwa akitoka nyumbani kuelekea shuleni. Alipokuwa akikatiza mtaa wa Maili Saba, aliona kijiti mbele yake. Aliinama na kukichukua. Alipokichukua kilibadilika kikawa __19__ cheupe. Alistaajabu na kukitupa chini. Kisha akatoroka kuelekea shuleni. Alipofika alimweleza mwalimu __20__. Mwalimu alimwambia asiwe akiokota vitu barabarani.
20. Chagua jibu sahihi la pengo 20.
- Awake
- Bpake
- Clake
- Dyake
Answer
A. wake
Mwalimu ni ngeli ya A-WA: mwalimu wake.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kutoka swali la 21 hadi 30 jibu kulingana na maagizo. Kamilisha salamu. U hali gani?Question 21
- Chagua kiwakilishi. Wao wanaenda kule kucheza.Question 22
- Chagua kielezi kukamilisha sentensi. Mama alitembea ___ akitoka mtoni.Question 23
- Tegua kitendawili. Popoo mbili zavuka mto.Question 24
- Jaza kwa kutumia kiunganishi. Amefika ___ amenyeshewa.Question 25
- Andika kwa wingi. Mvulana mkali ameadhibiwa.Question 26