CBC Grade 5 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 21
Kutoka swali la 21 hadi 30 jibu kulingana na maagizo. Kamilisha salamu. U hali gani?
From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi, Salamu
21. Kutoka swali la 21 hadi 30 jibu kulingana na maagizo.
Kamilisha salamu. U hali gani?
- APoa
- BVizuri
- CNjema
- DSabalkheri.
Answer
C. Njema
"U hali gani?" hujibiwa "Njema" au "Nzuri".
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua kiwakilishi. Wao wanaenda kule kucheza.Question 22
- Chagua kielezi kukamilisha sentensi. Mama alitembea ___ akitoka mtoni.Question 23
- Tegua kitendawili. Popoo mbili zavuka mto.Question 24
- Jaza kwa kutumia kiunganishi. Amefika ___ amenyeshewa.Question 25
- Andika kwa wingi. Mvulana mkali ameadhibiwa.Question 26
- Tambua neno lisilo la heshima.Question 27