CBC Grade 5 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 26
Andika kwa wingi. Mvulana mkali ameadhibiwa.
From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi, Umoja na Wingi
26. Andika kwa wingi.
Mvulana mkali ameadhibiwa.
- AMvulana wakali ameadhibiwa.
- BWavulana wakali ameadhibiwa.
- CVivulana wakali wameadhibiwa.
- DWavulana wakali wameadhibiwa.
Answer
D. Wavulana wakali wameadhibiwa.
Mvulana → wavulana, mkali → wakali, ameadhibiwa → wameadhibiwa.