CBC Grade 5 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 29
Chagua jina linalopatikana katika ngeli ya A-WA.
From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli
29. Chagua jina linalopatikana katika ngeli ya A-WA.
- AKisu
- BMto
- CSamaki
- DKiatu.
Answer
C. Samaki
Samaki ni kiumbe hai: samaki ameogelea (A-WA).