CBC Grade 5 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 23
Chagua kielezi kukamilisha sentensi. Mama alitembea ___ akitoka mtoni.
From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi, Vielezi
23. Chagua kielezi kukamilisha sentensi.
Mama alitembea ______ akitoka mtoni.
- Abwawa
- Bna
- Ckwa
- Dpolepole
Answer
D. polepole
"Polepole" kinaeleza jinsi mama alivyotembea.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Tegua kitendawili. Popoo mbili zavuka mto.Question 24
- Jaza kwa kutumia kiunganishi. Amefika ___ amenyeshewa.Question 25
- Andika kwa wingi. Mvulana mkali ameadhibiwa.Question 26
- Tambua neno lisilo la heshima.Question 27
- Kifaa hiki kinaitwaje?Question 28
- Chagua jina linalopatikana katika ngeli ya A-WA.Question 29