naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 19

Chagua jibu sahihi la pengo 19.

From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kujaza Mapengo

Chagua jibu sahihi kujaza pengo swali la 16-20.
Ilikuwa ni siku ya Jumatano. Siku __16__ Halima, mtoto __17__ umri wa miaka kumi na __18__, alikuwa akitoka nyumbani kuelekea shuleni. Alipokuwa akikatiza mtaa wa Maili Saba, aliona kijiti mbele yake. Aliinama na kukichukua. Alipokichukua kilibadilika kikawa __19__ cheupe. Alistaajabu na kukitupa chini. Kisha akatoroka kuelekea shuleni. Alipofika alimweleza mwalimu __20__. Mwalimu alimwambia asiwe akiokota vitu barabarani.

19. Chagua jibu sahihi la pengo 19.

  1. Akitamba
  2. Bkitabaa
  3. Ckitambaa
  4. Dkitampaa

Answer

C. kitambaa

Tahajia sahihi ni kitambaa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test