naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Mock Exam 2025 · Question 12

Watu wapi hawajatajwa kwenye taarifa hii? Watu kutoka

From Kiswahili — First Trial Assessment 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu hiki kisha ujibu swali la 11-15.
Ningependa kuishi mji wa Mombasa kwa sababu Mombasa ina sehemu mbili: mji wa Kale na mji Mpya. Watu waliokuja kutoka sehemu mbalimbali za Asia, Bara Hindi na Uarabuni wote waliishi mji huu. Majumba mengi ya Mji wa Kale yanafanana na majumba ya Uarabuni, Bara Hindi na Uingereza. Watu wanatoka sehemu mbalimbali za dunia kuja kustarehe katika mji huu. Ninapenda historia ya Mombasa. Pia, watu wengi ni Waislamu kama familia yangu. Pia, ninapenda kukutana na watu tofauti. Hata hivyo, ningependa kuishi mji mpya kwa sababu usafiri ni rahisi, bei yake si ghali.
Ninapenda mji mpya zaidi ya mji wa Kale kwa sababu mji wa Kale ni wa familia ya kirafiki. Kwa mfano, Mombasa ina hoteli za kifahari. Hii ni muhimu kwa sababu familia yangu na rafiki yangu wataweza kuja ziara na kukaa hoteli karibu nami. Pia, kuna maduka makubwa kama duka kuu, sinema na shule nzuri sana. Hii ni muhimu kwa sababu ninaweza kwenda dukani kisha niende kwenye sinema baadaye.

12. Watu wapi hawajatajwa kwenye taarifa hii? Watu kutoka

  1. AAsia
  2. BMalawi
  3. CBara Hindi
  4. DUarabuni.

Answer

B. Malawi

Kifungu kinataja Asia, Bara Hindi na Uarabuni, si Malawi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test