CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 5)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · Revision 2026 (Booklet 5) · 30 questions
Topics: Kusoma, Msamiati, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Fasihi Simulizi.
All 30 questions with answers
- Question 1: Zawadi na Lydia walipatana ukumbini wakati gani?Answer: B. Jioni
- Question 2: Zawadi alifika mapema kwa sababuAnswer: D. Aliyathamini maonyesho ya kitamaduni.
- Question 3: Malipo yaliyotajwa katika kifungu hiki niAnswer: C. kiingilio
- Question 4: Inaonekana Zawadi na Lydia niAnswer: D. marafiki
- Question 5: Zawadi na Lydia walienda kutazama maonyesho wapi?Answer: D. Ukumbini
- Question 6: Ni nani aliyekuwa na wazo la kukabiliana na uhalifu katika kijiji hicho?Answer: B. Busara
- Question 7: Busara alifanya nini kwa vijana waliokuwa wakijaribu kutekeleza wizi?Answer: D. Aliwafundisha kuhusu madhara ya uhalifu.
- Question 8: Kwa nini vijana walijuta baada ya mazungumzo na Busara?Answer: A. Walijua kuwa uhalifu unavuruga familia na jamii.
- Question 9: Kwa upande wa jamii nini kilitokea baada ya vijana kuachana na uhalifu?Answer: B. Walijitolea kufanya kazi kwa bidii.
- Question 10: Ni nini kinachohitajika ili kufikia afya bora?Answer: B. Mazoezi ya mwili, lishe bora, na usingizi wa kutosha.
- Question 11: Ni nini kinachohusiana na afya bora?Answer: B. Kujiepusha na dawa za kulevya, pombe, na sigara.
- Question 12: Afya bora inahusisha hali gani?Answer: B. Hali nzuri ya kimwili, kiakili, na kijamii.
- Question 13: Sehemu iliyo juu ya shina la mti si pamoja naAnswer: B. mizizi
- Question 14: Upande wa chini katika shina la miti,Answer: A. huwa kuna mikaruzo
- Question 15: Tumeambiwa kuwa mti mkubwa ulioko KalifoniaAnswer: B. unaweza kutumia kujengea nyumba nyingi.
- Question 16: (16)Answer: B. jambo
- Question 17: (17)Answer: A. umoja
- Question 18: (18)Answer: D. yote
- Question 19: (19)Answer: C. upanzi
- Question 20: (20)Answer: B. aliwapikia
- Question 21: Gani ni laki moja na moja?Answer: B. 100 001
- Question 22: Nini wingi wa sentensi hii: Nyani amekula nyanya.Answer: B. Manyani wamekula manyanya.
- Question 23: Jibu maamkuzi yafuatayo: Chewa?Answer: A. Ewaa
- Question 24: Jaza nafasi iliyoachwa wazi kwa jibu mwafaka. Msimu uliopita, tulivamiwa na viwavi ___ waliharibu mimea yote.Answer: D. ambao
- Question 25: Chagua sentensi sawa kisarufiAnswer: D. Madawati mapya yamenunuliwa.
- Question 26: Ni neno lipi kati ya haya halipatikani katika ngeli ya Li-li.Answer: D. dawati
- Question 27: Neno fyekeo liko katika ngeli gani?Answer: B. ki - vi
- Question 28: Tambua jina la umbo hili (▭ — umbo lenye pande mbili ndefu na mbili fupi)Answer: B. mstatili
- Question 29: Maana ya msemo kula mwata niAnswer: B. pata taabu
- Question 30: Kamilisha methali: Mtoto umleavyo ___Answer: A. ndivyo akuavyo