CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24
Jaza nafasi iliyoachwa wazi kwa jibu mwafaka. Msimu uliopita, tulivamiwa na viwavi ___ waliharibu mimea yote.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Virejeshi
24. Jaza nafasi iliyoachwa wazi kwa jibu mwafaka.
Msimu uliopita, tulivamiwa na viwavi ______ waliharibu mimea yote.
- Aambayo
- Bambavyo
- Cambazo
- Dambao
Answer
D. ambao
Viwavi (A-WA) → ambao.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi sawa kisarufiQuestion 25
- Ni neno lipi kati ya haya halipatikani katika ngeli ya Li-li.Question 26
- Neno fyekeo liko katika ngeli gani?Question 27
- Tambua jina la umbo hili (▭ — umbo lenye pande mbili ndefu na mbili fupi)Question 28
- Maana ya msemo kula mwata niQuestion 29
- Kamilisha methali: Mtoto umleavyo ___Question 30