CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21
Gani ni laki moja na moja?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nambari
21. Gani ni laki moja na moja?
- A11 001
- B100 001
- C1 001
- D10 000
Answer
B. 100 001
Laki moja = 100 000.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Nini wingi wa sentensi hii: Nyani amekula nyanya.Question 22
- Jibu maamkuzi yafuatayo: Chewa?Question 23
- Jaza nafasi iliyoachwa wazi kwa jibu mwafaka. Msimu uliopita, tulivamiwa na viwavi ___ waliharibu mimea yote.Question 24
- Chagua sentensi sawa kisarufiQuestion 25
- Ni neno lipi kati ya haya halipatikani katika ngeli ya Li-li.Question 26
- Neno fyekeo liko katika ngeli gani?Question 27