CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22
Nini wingi wa sentensi hii: Nyani amekula nyanya.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
22. Nini wingi wa sentensi hii:
Nyani amekula nyanya.
- ANyani wamekula manyanya.
- BManyani wamekula manyanya.
- CManyani wamekula nyanya.
- DNyani amekula manyanya.
Answer
B. Manyani wamekula manyanya.
Nomino zote mbili na kiambishi viwe wingi.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Jibu maamkuzi yafuatayo: Chewa?Question 23
- Jaza nafasi iliyoachwa wazi kwa jibu mwafaka. Msimu uliopita, tulivamiwa na viwavi ___ waliharibu mimea yote.Question 24
- Chagua sentensi sawa kisarufiQuestion 25
- Ni neno lipi kati ya haya halipatikani katika ngeli ya Li-li.Question 26
- Neno fyekeo liko katika ngeli gani?Question 27
- Tambua jina la umbo hili (▭ — umbo lenye pande mbili ndefu na mbili fupi)Question 28