CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6
Ni nani aliyekuwa na wazo la kukabiliana na uhalifu katika kijiji hicho?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 6 hadi 9.
Busara alikuwa na ndoto ya kuona kijiji chao kikiwa na usalama. Kila siku aliona vijana wakikimbizana na polisi baada ya kutekeleza uhalifu kama wizi na udanganyifu. Alihisi uchungu kwa kuwa uhalifu ulikuwa umeenea na kuvuruga jamii yao.
Siku moja, aliona vijana wawili wakijaribu kutekeleza wizi kwenye duka dogo la kijiji. Busara, badala ya kukimbia au kuwahusisha polisi mara moja, aliwakusanya na kuwaambia kuhusu madhara ya uhalifu kwa jamii na familia zao. Aliwafundisha jinsi ya kupata riziki kwa njia halali na umuhimu wa kuthamini utu.
Baada ya mazungumzo hayo, vijana hawa walijuta na walijitolea kuacha uhalifu na kuanzisha shughuli ndogo za kujitolea kwa jamii.
6. Ni nani aliyekuwa na wazo la kukabiliana na uhalifu katika kijiji hicho?
- APolisi
- BBusara
- CVijana
- DWazee wa kijiji
Answer
B. Busara
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Busara alifanya nini kwa vijana waliokuwa wakijaribu kutekeleza wizi?Question 7
- Kwa nini vijana walijuta baada ya mazungumzo na Busara?Question 8
- Kwa upande wa jamii nini kilitokea baada ya vijana kuachana na uhalifu?Question 9
- Ni nini kinachohitajika ili kufikia afya bora?Question 10
- Ni nini kinachohusiana na afya bora?Question 11
- Afya bora inahusisha hali gani?Question 12