CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 11
Ni nini kinachohusiana na afya bora?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali nambari ya 10 hadi 12.
Afya bora inahusisha hali ya kimwili, kiakili, na kijamii. Mtu hujihisi mzima na mwenye uwezo wa kufanya shughuli za kila siku. Ili kuwa na afya bora, ni muhimu kuzingatia lishe bora, kufanya mazoezi ya mwili, kuwa na usingizi wa kutosha na kujiepusha na vitu vinavyoweza kukudhuru kama vile sigara, pombe, au dawa za kulevya. Aidha, afya bora inahitaji usafi wa mazingira na mwili na kufanya uchunguzi wa mara kwa mara ili kugundua magonjwa mapema.
11. Ni nini kinachohusiana na afya bora?
- AKufanya kazi kila wakati bila kupumzika.
- BKujiepusha na dawa za kulevya, pombe, na sigara.
- CKuishi kwa kutokujali usafi wa mazingira.
- DKula vyakula vyenye mafuta mengi.
Answer
B. Kujiepusha na dawa za kulevya, pombe, na sigara.
Kujiepusha na vitu hatari.