naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 14

Upande wa chini katika shina la miti,

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 13 hadi 15.
Miti huvutia macho. Watu wengi hupenda nyumba zao zikizungukwa na miti. Hoteli nyingi kubwa zimejengwa katika maeneo yenye miti mingi. Ukiangalia mti, kwanza, unaona shina ambalo hushikilia sehemu za juu kama matawi, majani, maua na matunda. Kwa chini, shina huonekana kuzeeka na lenye mikwaruzo. Juu, shina huonekana changa na laini.
Mti mrefu zaidi leo ni zaidi ya futi mia tatu na sitini kwa urefu. Mti huu unapatikana Kalifonia, huko Marekeni. Mti huu huweza kutoa mbao za kujengea zaidi ya nyumba mia tatu. Chini kuna mizizi iliyojipenyeza mchangani na kusambaa.
Kila mmoja wetu, wakubwa kwa wadogo, anastahili kuifanya dunia maridadi kwa kupanda miti.

14. Upande wa chini katika shina la miti,

  1. Ahuwa kuna mikaruzo
  2. Bmajani huwa mengi
  3. Cshina huonekana laini
  4. Dshina huwa na rangi ya kuvutia

Answer

A. huwa kuna mikaruzo

"shina huonekana kuzeeka na lenye mikwaruzo".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test