CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 13
Sehemu iliyo juu ya shina la mti si pamoja na
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 13 hadi 15.
Miti huvutia macho. Watu wengi hupenda nyumba zao zikizungukwa na miti. Hoteli nyingi kubwa zimejengwa katika maeneo yenye miti mingi. Ukiangalia mti, kwanza, unaona shina ambalo hushikilia sehemu za juu kama matawi, majani, maua na matunda. Kwa chini, shina huonekana kuzeeka na lenye mikwaruzo. Juu, shina huonekana changa na laini.
Mti mrefu zaidi leo ni zaidi ya futi mia tatu na sitini kwa urefu. Mti huu unapatikana Kalifonia, huko Marekeni. Mti huu huweza kutoa mbao za kujengea zaidi ya nyumba mia tatu. Chini kuna mizizi iliyojipenyeza mchangani na kusambaa.
Kila mmoja wetu, wakubwa kwa wadogo, anastahili kuifanya dunia maridadi kwa kupanda miti.
13. Sehemu iliyo juu ya shina la mti si pamoja na
- Amaua
- Bmizizi
- Cmatawi
- Dmatunda
Answer
B. mizizi
Mizizi iko chini.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Upande wa chini katika shina la miti,Question 14
- Tumeambiwa kuwa mti mkubwa ulioko KalifoniaQuestion 15
- Gani ni laki moja na moja?Question 21
- Nini wingi wa sentensi hii: Nyani amekula nyanya.Question 22
- Jibu maamkuzi yafuatayo: Chewa?Question 23
- Jaza nafasi iliyoachwa wazi kwa jibu mwafaka. Msimu uliopita, tulivamiwa na viwavi ___ waliharibu mimea yote.Question 24