CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 12
Afya bora inahusisha hali gani?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali nambari ya 10 hadi 12.
Afya bora inahusisha hali ya kimwili, kiakili, na kijamii. Mtu hujihisi mzima na mwenye uwezo wa kufanya shughuli za kila siku. Ili kuwa na afya bora, ni muhimu kuzingatia lishe bora, kufanya mazoezi ya mwili, kuwa na usingizi wa kutosha na kujiepusha na vitu vinavyoweza kukudhuru kama vile sigara, pombe, au dawa za kulevya. Aidha, afya bora inahitaji usafi wa mazingira na mwili na kufanya uchunguzi wa mara kwa mara ili kugundua magonjwa mapema.
12. Afya bora inahusisha hali gani?
- AKuwa na afya ya mwili pekee.
- BHali nzuri ya kimwili, kiakili, na kijamii.
- CKuwa na uwezo wa kutembea tu.
- DKula mlo mmoja kwa siku.
Answer
B. Hali nzuri ya kimwili, kiakili, na kijamii.
Sentensi ya kwanza.