naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 16

(16)

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo

Soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi 16 hadi 20. Umepewa majibu manne hapo. Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Hakuna __16__ linaloweza kufanyika bila ushirikiano na __17__. Hii ndiyo sababu wakazi wa kijiji cha Bidii waliamua kushirikiana katika mambo yao __18__. Walianza kuandaa udongo kwa ajili ya __19__. Walingama kuyalima mashamba yao. Kila aliyelimiwa shamba __20__ wenzake ugali kwa kitoweo kitamu.

16. (16)

  1. Amambo
  2. Bjambo
  3. Cswali
  4. Djawabu

Answer

B. jambo

Hakuna jambo linaloweza.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test