CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026: Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha)
Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 45 questions
Topics: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kusoma.
All 45 questions with answers
- Question 1: Sabalkheri? ___Answer: Asubuhi.
- Question 2: Lala unono! ___Answer: Usiku, wakati wa kwenda kulala.
- Question 3: Umeamkaje? ___Answer: Asubuhi, baada ya kuamka.
- Question 4: Hujambo? ___Answer: Wakati wowote.
- Question 5: Kwaheri! ___Answer: Wakati wa kuagana.
- Question 6: ___ ni mwalimu mzuri.Answer: B. Yeye
- Question 7: ___ walitusaidia kuchora.Answer: A. Wao
- Question 8: ___ ni mwanafunzi mpole.Answer: B. Huyu
- Question 9: ___ walikuja kwetu jana.Answer: B. Hawa
- Question 10: ___ ni mgonjwa.Answer: A. Mimi
- Question 11: Nimezaliwa na mguu mmoja. ___Answer: Uyoga.
- Question 12: Atolewapo nje hufa. ___Answer: Samaki.
- Question 13: Askari mlangoni. ___Answer: Kufuli.
- Question 14: Ni vazi lipi ni tofauti kati ya haya? (Buibui, rinda, shati)Answer: A. Buibui
- Question 15: Ninavaliwa na watu wakienda shuleni. Ninaitwa nani? ___Answer: Sare ya shule.
- Question 16: Lo! Kumbe yeye ni mwizi.Answer: Lo!
- Question 17: Maskini! Ni nani amerarua kitabu changu?Answer: Maskini!
- Question 18: Ah! Usiseme hivyo tena.Answer: Ah!
- Question 19: Mama eeh! Joka hili ni kubwa sana.Answer: Mama eeh!
- Question 20: 101 → ___Answer: Mia moja na moja.
- Question 21: 963 → ___Answer: Mia tisa sitini na tatu.
- Question 22: Andika maneno mawili yanayoonyesha vitendo kutoka kwenye orodha hii.Answer: Kuruka, Kimbia
- Question 23: Mnyama huyu anaitwaje?Answer: Mbuzi.
- Question 24: Ndege huyu anaitwaje?Answer: Mbuni.
- Question 25: Ua limekauka. → ___Answer: Maua yamekauka.
- Question 26: Kikombe kimevunjika. → ___Answer: Vikombe vimevunjika.
- Question 27: Mlango umepakwa rangi. → ___Answer: Milango imepakwa rangi.
- Question 28: Kitabu hiki ni kizuri. → ___Answer: Vitabu hivi ni vizuri.
- Question 29: Gari limenunuliwa. → ___Answer: Magari yamenunuliwa.
- Question 30: b/p → ___Answer: baba
- Question 31: ch/j → ___Answer: jicho
- Question 32: Mwalimu amesimama ___ rafiki yangu.Answer: C. karibu na
- Question 33: Ndege ametua ___ mpera.Answer: A. juu ya
- Question 34: Nyoka ameingia ___ shimo.Answer: B. ndani ya
- Question 35: Mmea ni nini?Answer: Mmea ni kiumbe kilicho na uhai chenye majani, mizizi na shina.
- Question 36: Mimea hupandwa kwa ___ au ___.Answer: Mbegu au matawi.
- Question 37: Taja faida mbili za mimea: (i) (ii)Answer: (i) Mimea hutupa chakula kama matunda, miwa na viazi. (ii) Mimea hutoa hewa safi.
- Question 38: Ni mmea gani huliwa mashina?Answer: Miwa.
- Question 39: Mimea mingi huwa na rangi gani?Answer: Kijani kibichi.
- Question 40: Taja viumbe vitatu vinavyotegemea mimea kwa chakula: (i) (ii) (iii)Answer: (i) Binadamu (ii) Wanyama (iii) Ndege
- Question 41: Shule yao Riziki na Bakari iko wapi?Answer: Kaskazini mwa mji wa Salama.
- Question 42: Ni muda gani umepita tangu wapokee vipakatalishi?Answer: Miezi minne.
- Question 43: Mwalimu aliwaambia wafungue ___ lengwa.Answer: Faili zenye mada
- Question 44: Riziki na Bakari hutumia vipakatalishi kutazama nini?Answer: Vipindi vya masomo vilivyorekodiwa.
- Question 45: Ni hatua gani wanapaswa kuchukua baada ya kutumia vipakatalishi?Answer: Kufunga faili na kuzima vipakatalishi.