CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 2
Lala unono! ___
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maamkuzi na Maagano
Andika maelezo yanayoonyesha maamkuzi haya hutumiwa wakati gani.
Lala unono! ______
Answer
Usiku, wakati wa kwenda kulala.
"Lala unono" (lala salama) husemwa usiku mtu anapoenda kulala.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.