CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 5
Kwaheri! ___
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maamkuzi na Maagano
Andika maelezo yanayoonyesha maamkuzi haya hutumiwa wakati gani.
Kwaheri! ______
Answer
Wakati wa kuagana.
"Kwaheri" husemwa watu wanapoagana au mtu anapoondoka.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.